Kadi Juma Paul Costantine wa Ilalwansimba
Kadi ya mwaliko wa kikao cha kwanza cha kamati ya harusi — jina la mualikwa likiwekwa, QR yake inakuwa ya kipekee. Kikaoni, QR ikiscan-iwa inathibitisha jina dhidi ya hifadhi ya wageni na kuonyesha status, kisha inatoa njia ya moja kwa moja kuelekea mahali pa kikao.
QR CODE → UTHIBITISHO + LOKESHENI
kadi.gstsolutions.co.tz/index.php